Tuesday, 11 September 2012
WAZIRI WA FEDHA MHE. WILLIAM MGIMWA AZINDUA BODI MPYA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Bw. William Erio akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Fedha.Mhe. William Mgimwa (alieketi katikati). kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya PPF,Dk. Adolph F. Mkenda. Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akimkabidhi CD na Flash zenye vitendea kazi mbali mbali vya Bodi, Bi. Sabinah Gellejah wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi mpya ya Wadhamini iliofanyika katika ukumbi wa Mikutanowa PPF,jijini Dar es Salaam.Wakurugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PPFkutoka kushoto Mkurugenzi wa Fedha Bw.Martin Mmari,Mkurugenzi wa UwekezajiBw.Steven Alfred,Mkurugenzi wa Ukagunzi wa Ndani Bw.Hosea Kashimba,Mkurugenziwa Mifumo ya Habari Bw.Robert Mtendamema na Mkurugenzi wa Majanga Bi.Ufoo Swai.Nyuma ni Mameneja wa Mfuko wa Pensheniwa PPF pamoja na Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini wakatiwa uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini uliofanyika katika ukumbi waMikutano wa PPFWaziri wa Fedha Mhe. Dk.William Mgimwa (katikati) akiwakwenye picha ya pamoja na Bodi mpya ya Wadhamini ya PPF kushoto kwake niMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka yaUdhibiti na Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii(SSRA) Bi. Irene Isaka,akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. William Erio(kulia) na wa pili kushoto Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini Dk. Adolph F.Mkenda akifuatiwa na Mjumbe wa Bodi Bi Sabinah Gellejah.Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Bw. Frank GodfreyMtosho, Bi Mwamini Tulli, Bw. Eliakim Lovililo, Bi. Adelgunda Michael Mgaya naBw. Nassoro Kheri Baraza.Waziri wa Fedha Mhe. Dk.William Mgimwa (katikati) akiwakwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Mfuko wa Pesheni wa PPF kulia kwake niMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka yaUdhibiti na Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii(SSRA) Bi. Irene Isaka, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Bw. William Erio (wa pilikulia) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Uendeshaji Bi.Asumpta Mallya(Kulia) naMkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani Bw.Hosea Kashimba(Kushoto).Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Mkurugenzi waSheria Bi.Vupe Ligate, Mkurugenzi wa Fedha Bw.MartinMmari, Mkurugenzi wa Uwekezaji Bw.Steven Alfred , Mkurugenzi wa Mifumo yaHabari Bw.Robert Mtendamema ,Mkurugenzi wa Majanga Bi.Ufoo Swai na Mkurugenziwa Rasilimali watu na Utawala Bw.Julius Kam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment