WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 13 September 2012

TATOO YANGU SIO PICHA YA RIHANNA,CHRIS BROWN.

Hii Ndio Tatoo Yenyewe

Chris anazidi kukerwa na story za Rihanna kwenye maisha yake .Kila anachokifanya watu hufananisha au kuhusisha na mambo Rihanna. Tatoo mpya kwenye shingo ya Chris Brown sio Picha Ya Rihanna ingawa inafanana na Rihanna ila ni Fuvu la sherehe ya wafu inayo sherekewa kila mwaka mjini Mexica. Siku hii inaitwa Dia De Los Muertos (Day Of The Dead)

No comments:

Post a Comment