WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Wednesday, 12 September 2012

ZAIDI YA DOLLAR 8000 KUTUMIKA KWENYE VIDEO YA MWANA FA.

Binamu Amefunguka kuhusu kubadilisha mawazo ya kufanyia Video wimbo wake wa Amen alio mshirikisha Dully na Ay na kusema umeka sana hewani na muda wake wa video umepita ,pia amezingatia shangwe anazo zipata kwa sasa kwenye show tofauti anazo fanya ikifikia muda wa sala yani Akiwa anaimba Amen watu wanaelewa sana so ngoma imeeleweka bila video. Mwana FA amesema Wats next sasa nikukamilisha ngoma nyingine ambayo anafanya na Wyre The Love Child na Prezzo na tayari Wyre amefanya sehemu yake na FA ,amebaki Prezzo kumalizia sehemu yake leo au kesho . Wimbo unaitwa Give Me That Song Na Umetengenezwa studio za Wyre.Baada ya Wimbo kukamilika ndio tutaangalia utaratibu wa Video yake na nategemea hii itakuwa video yenye gharama kuliko video zangu zote . Producer/Director wa video hii atachukua Dollar za kimarekani $ 8000 na itafanyika Nairobi nchini Kenya. Hizo ni pesa za Video Director tu ila bado usafiri ,models na mambo mengine so makadirio ya gharama ya video hii ni pesa nyingi. Well Hongera kwa Mwana FA Finally spending more on Videos.

No comments:

Post a Comment