WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 13 September 2012

HIZI NDIZO TRACKLIST ZA ALBUM YA BRANDY -”TWO ELEVEN”

Zikiwa zimebakia kama siku 34 kabla ya Brandy kurelease album yake ya sita kwa jina la “Two Eleven” inayotarajiwa kutoka October 16 ya mwaka huu, Brandy ameamua kuachia track list za album hiyo kwa wapenzi wa muziki wake .The Standard version ya album hiyo itakuwa na tracks 14 akiwa ameshirikiana na wasanii hawa Sean Garrett, Rico Love, Jim Jonsin, Bangladesh, Mario Winans na Tha Bizness. Chris Brown ameonekana kwenye single “Put It Down” na Sevyn ameshirikishwa kwenye single iitwayo “Slower” huku Frank Ocean akiwa kwenye single iitwayo “Scared of Beautiful.” Na kwa wale watakaonunua toleo la Deluxe Edition watapata nyimbo nne za ziada. Na kuhusina na ujio wa album hii Brandy amefunguka hivi:”It’s just an R&B album, a rhythm and blues album. No gimmicks, real R&B music & little bit sexier than my previous albums—very vibed out, and it’s versatile.” Check out the tracklisting per iTunes.
Two Eleven Tracklisting
1. “Interlude 1”
2. “Wildest Dreams”
3. “So Sick”
4. “Slower”
5. “No Such Thing As Too Late”
6. “Let Me Go”
7. “Without You”
8. “Put It Down” feat. Chris Brown
9. “Hardly Breathing”
10. “Do You Know What You Have?”
11. “Scared of Beautiful”
12. “Wish Your Love Away”
13. “Paint This House”
14. “Interlude 2”
Deluxe Edition
15. “Can You Hear Me Now?”
16. “Music”
17. “What You Need”
18. “Nodding Off

No comments:

Post a Comment