Thursday, 13 September 2012
Tangazo la msiba leicester
An Noor Community Centre
-Madrassatul Noor Leicester-
مَدْرَسَةٌالنُّوْرِلِسْتَرْ
INNAA LILLAAHI WA INNAA ILAYHI RAJIOON
An Noor Community Leicester, kwa niaba ya familia ya Abdallah Shamuni, Yusriyah Yussuf na Yussuf Mussa wa Leicester, UK, kwa majonzi inakupeni taarifa ya msiba wa MAMA YAO mpenzi kilichotokea Leicester alfajiri ya JUMANNE tarehe 11-09-2012.
Mazishi yatafanyika siku ya Alhamisi 13-09-2012 baada ya Sala ya Adhuhurikatika makaburi ya Saffron Lane, Leicester.
Anwani ya makaburini ni Stonesby Avenue, Leicester, LE2 6TY.
Kinamama na kinadada wanaotaka kujumuika katika msiba wanakusanyika katika anwani hii:200 Humberstone Lane, Leicester, LE4 8HH.
Kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu
Abdallah Yusuf (Shamuni:+44 7946727287
Twamuomba Allah Taala awarehemu marehemu wetu wote, Amin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment