Thursday, 13 September 2012
EBSS…HUKU MAMBO NI MOTOO!
The new issue of number one entertainment Magazine in Tzee is coming out with the exclusive stories about EBSS 2012!.
Pata kujua kwa undani kabisa wa mambo mbalimbali kuhusiana na EBSS.
Get to know celebrities like Lady Jay Dee, Gadna G. Habash, Sharo Millionea, Wema Sepetu na wengine kibao wana maoni gani juu ya EBSS?
Mwaka jana alikuwa Bob Junior, Je unawajua mastaa ambao ni watafanya kazi na EBSS mwaka huu?
Na vipi unafahamu lolote juu ya msanii aliyeimba wimbo wa BSS mwaka huu?
Kwa story nyingine zinazowahusu mastaa kama B12, Millard Ayo, Lamar, Adam Mchomvu, Peter Msechu kamata yako mpya ya BaabKubwa Magazine coming out this week likiwa na muonekano mpya huku ndani likiwa na line ya Zantel ambayo ina mkwanja na pia itakuwezesha kukupa nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Zantel…
Usithubutu kuli-miss GET UR COPY NOW!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment