WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 13 September 2012

Mripuko wa bomu nje ya Hoteli Jazeera Palace - VOA

Mabomu mawili yaliLipuka Jumatano nje ya hoteli ambako waziri wa mambo ya nchi za nje wa Kenya alikuwa anazungumza na waandishi habari na Rais mpya wa Somalia alikuwa ndani ya hoteli hiyo

No comments:

Post a Comment