WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Tuesday, 11 September 2012

MOMENT OF SILENCE: OBAMA AIKUMBUKA SEPTEMBER 11




Leo asubuhi, Raisi wa Marekani Obama akiwa na mkewe Michelle Obama pamoja na staff wa white house wakiwa kwenye moment of silence kuwakumbuka waliofarika kati tukio la september 11

No comments:

Post a Comment