Mwanamuziki Tlou Cleopas Monyepae maarufu kama DJ Cleo Kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere usiku huu, tayari kwa onyesho lake litakalofanyika kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es salaam siku ya Machi 10, 2012 siku ya jumamosi, Mwanamuziki huyo kwa sasa anatamba na wimbo wake wa FACEBOOK na ameongozana na wanamuziki wenzake wawili
|
No comments:
Post a Comment