WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Wednesday, 14 March 2012

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA ONYO JINGINE!

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imeonya tena kwamba wakazi wote wanaoishi mabondeni Dar es salaam wahame kwa sababu matukio ya vimbunga yanatarajiwa kuongezeka zaidi katika maeneo ya kusini-magharibi mwa habari ya hindi na hiyo itachangia kuongeza au kupunguza mvua katika baadhi ya maeneo Tanzania.
Mvua zitakua za wastani kwa ujumla lakini mamlaka hiyo imekiri kwamba haiwezi kuepuka matokeo ya mvua kubwa na kusababisha upatikanaji wa maji kwenye mabonde na hivyo kuleta athari kwa wanaoendelea kunga’ng’ania kuishi mabondeni, wanatakiwa waondoke ili wajinusuru wao na mali zao.

No comments:

Post a Comment