WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 31 January 2013

TIMBALAND AINGIA MKATABA NA JAY Z

Nyota Timbaland ameingia mkataba na Jay Z kwa kusaini kufanya kazi chini ya label yake, mpango huo umekamilika jana jioni ambapo Timbaland alisaini rasim mkataba huo na kumfanya kuwa teyari yupo chini ya Label ya Jay Z

Timbaland aliahidi kuendelea kufanya vizuri kimuziki baada ya wimbo wake 'Missy' kushuka kwenye chati miezi michache nyuma , hali hiyo ilisababisha mwanamuziki huyo kutosikika kwa mashabiki wake , inawezekana hiyo pia ikawa sababu ya yeye kuingia mkataba mpya na Jay Z

No comments:

Post a Comment