WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 31 January 2013

ALICIA KEYS APATA SHAVU BLACKBERRY

Alicia Keys amepata shavu la kuwa Mkurugenzi Mbunifu wa kampuni ya simu ya mkononi Blackberry Wakati Alicia Key amepata shavu hilo, Blackberry teyari imetambulisha mfano wa bidhaa yake mpya ya simu baada ya uvumi wa muda mrefu Wakati wakifanya utambulisho wa bidhaa hiyo, ndipo alipokuja na tangazo kubwa nyota huyo kama Mkurugenzi Mbunifu ili kuhakikisha bidhaa hiyo inakubalika sokoni kwa urahisi

No comments:

Post a Comment