WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Monday, 10 September 2012

UZINDUZI WA OMMY DIMPOZ CLUB MAISHA






Usiku wa kuamkia leo msanii anayeshikilia tuzo mbili za Kilimanjaro Ommy Dimpozi alikuwa akizindua video yake mpya inayokwenda kwa jina la BAADAE ambayo location zake zilichukuliwa Joz South Africa na video kuzinduliwa Bongo ndani ya New Maisha Club kiwanja cha nyumbani. Wasanii wenzake walikuwepo kumsindikiza Ommy Dimpozi, msanii kama Chege Chigunda alikuwa mmoja kati ya wasanii waliofanya poa sana na kupata shangwe nyingi hadi kufikia time ya Ommy mwenyewe kupanda katika steji ya Maisha Club

No comments:

Post a Comment