WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Monday, 10 September 2012

KIDEO CHA MEXICANA LACAVELA

Kruu ya Mexicana Lacavela imeachia kideo mpya kutoa chapisho la songi lao jipya na kwa mara ya kwanza unekicheki hapa mchomvu Ink hala utatoa makoment yako kam ajamaa wamefanya poa au bado wanahitaji kujipanga zaidi hasa baada ya kuwa wameondokewa na vichwa vingine kibao kutoka kundi hilo.

No comments:

Post a Comment