Monday, 10 September 2012
CHOFACO RECORDS TO SIGN IN BAGHDADY
Mwaka 2012 unaonekana kuwa wa mafanikio kwa artist wa “Ng’ae Ng’ae” ambaye pia ni member wa crew ya Mexicana Lacavela.
Baada ya kutangaza ku-invade into Bongo Movies with his movie yake kwa jina la “Linah“, now Praygod ‘Baghdady‘ Kweka will soon go international baada ya kudondokewa na shavu la his life time la to work under Chofaco Records based in US of A.
Ikikumbukwa vizuri mwaka juzi Chofaco Records iliyoko chini ya jamaa aitwaye Choba Ray iliyowahi kuproduce wimbo wa Fid Q wa “Danger“ wanted to sign Young Dee but mwishowe deal lilibuma kutokana na kushindwa kufikiwa kwa makubaliano kati ya Maxi Rioba who’s currently managing “Dada Huyo Anaolewa” singer.
“Nimeshatumiwa contract na Chofaco kwa ajili ya kudondoka wino, mimi na family yangu tumeupitia uko poaz, nachosubiria kwa sasa ni uncle wangu ambaye ni mwanasheria wangu kufika ili niweze kuhalalisha kila kitu kabla ya kuutuma Chofaco“, Baghdady told BK.
How did they met?, “Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana mziki wa bongo flava, and honestly speaking navutiwa kufanya kazi na damu changa and baada ya move yangu ya kwanza ya kum-recruit Young Dee kufail, nilimsaka Baghdady nikampata nikamweleza nia yangu ya kufanya nae kazi na baada ya kuafikiana na family yake niko tayari kufanya nae kazi“- Choba Ray.
Unaambiwa Baghdady ameshaanza kula mema ya nchi kwani jamaa amekuwa akimtumia shilingi laki nane kila mwezi hata kabla ya mkataba wake kuanza kufanyiwa kazi rasmi.
Kwa usiemfahamu Choba Ray- ni mzaliwa wa Tanga anayeishi huko Marekani ambapo chini ya label yake alishafanya kazi na wasanii kama King Cassidy na Jerimiah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment