WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Friday, 8 February 2013

Siku za Mwisho za uhai wake Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati Thomas Leizer Alikutana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema akibadilishana mawazo na Marehemu Thomas LezerHapa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati Thomas Leizer, katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa chumba cha uangalizi maalum (ICU). Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema. Picha hii ilipigwa Jumapili ya wiki iliyopita, ambapo viongozi hao walifika kumjulia hali kiongozi huyo wa kidini aliyefariki jana mchana, baada ya kuugua kwa kuda mrefu na kulazwa katika Hospitali ya Selian Hospital Arusha Centre.

No comments:

Post a Comment