WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Friday, 7 December 2012

Mrembo wetu Winfrida Dominique anahitaji sapoti ya nguvu


Taarifa kwa watanzania wanaoishi US hususan maeneo ya karibu na Las Vegas, kuanzia sasa mpaka tarehe 19 December kuna activities mbalimbali za Miss Universe - baadhi ziko free to the public, baadhi za kulipia! Naomba wenye nafasi na uwezo waende kumshangilia mrembo wetu kutoka Tanzania Winfrida Dominique - kama mnavyojua support ni muhimu. Kwa wale wenye uwezo December 19 - fainali ya Miss Universe itafanyika Planet Hollywood Resort and Casino.

Event muhimu:
PRESENTATION SHOW: (Preliminary Competition)
Ticket event
Thursday, Dec. 13

National Costume Show will be at Planet Hollywood Resort & Casino.
Friday, December 14
Celebrity Ballroom 4
6pm - no ticket necessary

The 2012 MISS UNIVERSE Pageant will be broadcast live from Planet Hollywood Resort and Casino
Ticket event
Wednesday, December 19
5pm Las Vegas time.

Naomba tujitahidi kutoa support ya nguvu kwa mrembo wetu! Thanks!

No comments:

Post a Comment