Baada ya kufanya vizuri katika wimbo wa Mwasiti “Mapito” msanii wa Bongoflava anayetokea THT , Ally Nipishe ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la “My” ambao unaelezea jinsi gani alivyo na uwezo wa kupenda.
Katika interview aliyofanya na bongo5.com Ally alipata nafasi ya kuelezea ushirikiano wake na Amini na jinsi anavyofanya kazi kwa ukaribu na hit-maker huyo wa ‘Bado Robo Saa’.
No comments:
Post a Comment