WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Friday, 14 September 2012

WAISLAMU WAFELI KUMG'OA MUFTI WA TANZANIA

Askari wa Kikosi cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa kwenye gari wakifanya doria Dar es Salaam leo, baada ya kuwepo njama ya baadhi ya Waislamu kuandamana kutaka kumg'oa madarakani Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Baadhi ya waislamu wakiwa nje ya msikiti wa Mtambani, Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kuswali leo

No comments:

Post a Comment