WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Friday, 14 September 2012

mkutano wa Mawaziri wa Mazingira Barani - Afrika waendelea jijini arusha

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ambae pia ni Rais wa Mawaziri wa Mazingira Barani Afrika Dk. Terezya Huvisa akiongoza kikao cha mawaziri hao katika ukumbi wa AICC mjini Arusha leo.



Baadhi ya Mawaziri wa Mazingira barani Afrika wakimsikiliza Rais wa Mawaziri wa Mazingira Afrika Dk. Terezya Huvisa (hayupo pichani) katika mkutano unaoendelea mjini Arusha kwenye ukumbi wa AICC. (Picha na Ali Meja).

No comments:

Post a Comment