WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Friday, 14 September 2012

MANGWEIR AWASHUKIA MASHOKA NA WASAGAJI

Mwanamuziki Albert Ngweir mesikika na kutoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu alicho andika kwenye ukurasa wake katika mtandao wa kijamii twitter ..ujumbe uliokuwa ukisema Mashoga Kupunguza ushindani na Lesbians wapunguze mzuka lasivyo watapewa mimba wote ili watulie na watoto wao .Ngweir amesema Vijana wengi siku hizi wanaona ushoga ni kawaida kama Marekani na wamesahau utamaduni na sheria za Dini . Ata takwimu zinaonyesha wanawake wana zaliwa zaidi kuliko wanaume na Wanawake wapo wengi Duniani na Mwanaume anapoamua kuwa mwanamke inakuwa sio issue.. sababu wanapunguza Competition kwa Mademu ila Lesbians wapunguze mzuka wakutoka na mademu lasivyo watapewa wote Watapewa Ujauzito.Kauli ya msanii huyo imezua utata mkubwa kwa sababu alipoulizwa je kuna vijana wangapi ambao anawajua na awataje alisikika akisema "siwezi kuwataja maana wanajulikana"

No comments:

Post a Comment