Msanii wa filamu nchini Jacob Steven ‘JB’ anatarajia kuingiza sokoni filamu mpya hivi karibuni aina ya Romantic Comedy iendayo kwa jina la Ukurasa Mpya
Alisema kuwa ujio huo wa Ukurasa Mpya anaamini utafanya vizuri kutokana na maudhuri yaliyobebwa kwenye filamu hiyo pamoja na wahusika kuweza kuvaa uhusika kama inavyotakiwa
Aliongezea kuwa kwenye filamu hiyo wadau watapata nafasi ya kumuona Banana Zoro ambaye amecheza kama kinala katika filamu hiyo na kuweza kuvaa uhusika vilivyo
No comments:
Post a Comment