WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 13 September 2012

FID Q KUWAPA AJIRA WAJASIRIAMALI WANAFUNZI


Fareed Kubanda Fid Q msanii wa Hip Hop nchini ambaye anamashabiki wengi kwenye game kutokana na mashairi na vina vyake kwenye mistari yake na kumfanya kuwa ni moja ya wasanii wanaitangaza Muziki wa Hip Hop toka TanzanANIA MPAKA ULAYA Na dunia nzima kwa ujumla Fid Q ambaye kwa sasa anakimbiza sana kwenye billbord chart mbalimbali na mzigo wake matata sanaaa unaokwenda kwa jina la “Sihitaji Marafiki” ameamua kutangaza ajira kwa wajasiliamali hasa wanafunzi walioko vyuoni. Je! Wewe ni mwanafunzi wa chuo? Unahitaji mshiko wa ziada tofauti na boom ama mpaka utumiwe na mdingi? Then Tangazo hili chini si la kupuuzia: TANGAZO KWA WAJASIRIA HIPHOP: Cheusidawa inatafuta wanafunzi wa vyuoni ambao wako tayari kufanya part time work ili kujipatia kipato cha ziada.. esp..wauzaji wa merchandises,cds, books and tix… tuandikie email yenye title hii.
MJASIRIA HIPHOP kwenda humu– cheusidawatv@gmail.com

No comments:

Post a Comment