Black Rhyno aka Black Chata kwa sasa yupo katika vikao vya harusi yake ambayo anatarajia kufunga ndoa mwezi June tarehe 30 mwaka huu.
Mbali na vikao hivyo vya harusi vikiendelea Rhyno anatarajia kushoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa TAKING OVA ambao unafanya vizuri kwa sasa katika radio station mbali mbali so anatafuta wadada warembo ambao wanaweza kuwepo katika video hiyo na kuifanya kuwa ya matawi ya juu kabisa. Kama unahitaji na upo kwenye mtandao wa jamii facebook unaweza kumtext anatumia jina la Black Rhyno
|
No comments:
Post a Comment