Mkutano Wa Rais Jakaya Kikwete na Uongozi Wa Chama Cha Madaktari Nchini ikulu Jijini Dar es Salaam Leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwakatika mazungumzo na viongozi wa Chama Cha Madaktari nchini(MAT) ikulu jijini Dar esSalaam leo mchana.Picha na Freddy Maro-IKULU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha ikulu jijini Dar es salaam viongozi wa Chama cha madaktari nchini. Wa pili kushoto ni Mratibu wa mgomo wa madaktari, Stephen Ulimboka na Kulia ni Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Mkopi
No comments:
Post a Comment