Kwenye Uchaguzi wa Rais na Wabunge mwana Elfu Mbili Na Kumi ndo ilikua mwanzo wa Wa’Tanzania wengi kumfahamu Mheshimiwa January Makamba baada ya kushinda kwa kishindo ndani ya chama chake na kuweza kusimama kama mgombea pekee asiyekua na mshindani toka kwenye Chama ili aweze kugombea ubunge wa jimbo la Bumbuli.
No comments:
Post a Comment