WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Sunday, 18 March 2012

Kwa Mara Ya Kwanza Kuona Video Imetazamwa Na Watu Milioni 14 Kwa Mwezi....




M.I.A

Hii Video ya Bad Girls ya M.I.A ni moja kati ya video na nyimbo ambazo zipo midomoni kwa wengi sasa hivi, ambapo toka video yake imewekwa YOUTUBE feb 2, imetezamwa na watu zaidi ya MILIONI 14 na laki tatu.
Ndio Video ya kwanza kuona mazingira ya waarabu yamehusishwa kiubunifun na haichoshi kutazama.
M.I.A ni mzaliwa wa London Uingereza miaka 36 iliyopita, jaribu kuchek hiyo video na kusikiliza wimbo wenyewe alafu uniambie

No comments:

Post a Comment