WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Wednesday, 7 March 2012

HUYU NDIO ANAETARAJIWA KUOLEWA NA LIL WAYNE!!


Lil Wayne & girlfriend wake anaitwa Dhea
huyu mrembo ndio huenda akaolewa na Lil Wyne siku kadhaa zijazo.
Wamekua wakionekana sehemu nyingi pamoja na pia siku ya Valentine inaaminika Wyne ndio alimvisha pete ya uchumba baada ya rapa huyo kusema “she said yes” ikiaminika tayari alimvisha pete ndani ya restaurant moja maarufu.
Mpaka sasa Lil Wyne mwenye umri wa miaka 29 ni baba wa watoto wanne, na ameahidi kuacha muziki akifikisha umri wa miaka 35 kwa sababu anataka kuwa karibu zaidi na watoto wake.

No comments:

Post a Comment