Hili ni miongoni mwa mashavu ya kwanza ya D BANJ WA NIGERIA baada ya kusain mkataba wa kufanya kazi na lebo ya rapper KANYE WEST, hii ilikua ni wakati wa video yake ya Oliver twist ikitengenezwa, ndani yake wameuza sura mastaa kibao kama BIG SEAN na MANNIE FRESH…
No comments:
Post a Comment