Sunday, 25 March 2012
BAGHDAD KUTOA SINGLE MPYA NA MOVIE.
Mkali wa ngoma ya “Oh mama” anafananishwa sana na mkali
kutoka Brooklyn marehemu Natorious B.I.G muite Baghdad tarehe
28/3/3012 ndo itakua siku maalumu ya kuachia video yake
ya wimbo unaoitwa LINAH single ambayo itafuatiwa na movie
aliyoiandika yeye na kuongozwa na Director kutoka kampuni
ya Shine Production movie itaitwa LINAH pia.
“ Ni kazi mpya hiyo kwa ajili ya mashabiki wangu waisubiri
wataisikia ngoma na kuicheck movie, naomba support kubwa
sana kutoka kwao kwasababu bila wao mimi siwezi kuwepo
wao ndo maboss zangu nawapenda ndo maaana naleta vitu
watakavyofurahia ili wazidi kuniamini na kuniunga mkono”
Alisema BAGHDAD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment