Asanteni sana kipindi cha XXL cha clouds fm kuiweka sawa hiyo diss mliyoisoma jana, kwa wale waliohudhuria show yangu ya Tar 4 pale DAR LIVE wanaweza wakatoa ushahidi ni show ya aina gani niliyoipiga pale siku hiyo na sivyo kama huyu HATER alivyosema!! Nahitaji sana kukosolewa ila pakiwa na ukweli ili nijirekebishe na sio CHUKI BINAFSI mkazileta kwenye kazi na maisha ya watu..
No comments:
Post a Comment