WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Monday, 4 February 2013

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DK. EMMANUEL NCHIMBI AFUNGUA MAFUNZO YA JINSIA KWA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, MJINI MOROGORO.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kulia) akipokelewa na Kamishna wa Sheria na Utawala wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa kabla ya kufungua mafunzo ya Jinsia kwa wakuu wa magereza wa mikoa yote Tanzania Bara, maafisa waandamizi wa makao makuu, watumishi raia na askari kutoka magereza mbalimbali nchini. Mfunzo hayo ya siku nne yanafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Edema mjini Morogoro.





Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa katikati waliokaa) akiwa na Wakuu wa Magereza ya Mikoa yote ya Tanzania Bara katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment