WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Monday, 4 February 2013

Sasa Tazama Jinsi wafuasi wa Chadema mkoani Dodoma Wakigombea eneo na mti wa kutundika bendera yao na Wafuasi wa CCM





Vurugu hizo zilizotulizwa na Polisi wa Kutuliza Ghasia (FFU), zilitokea jana mchana katika uwanja huo uliopo karibu na Baa ya Mwanga, baada ya CCM kung’oa bendera ya Chadema iliyokuwepo uwanjani hapo, ili waweke bendera zao kwa ajili ya mkutano ambao ulikuwa sehemu ya maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment