WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Wednesday, 6 February 2013

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas na Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman Dk.Rawya Saud Al Busaid






Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO)Irina Bokovas,pamoja na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment