WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Tuesday 5 February 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA JANA, PIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MALAGARASI




Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisikiliza maelezo ya Daraja la Maragarasi kutoka kwa Meneja wa Kampuni ya HANIL ambao ni Wakandarasi wa ujenzi wa Daraja hilo,Bw. Jung-Sik You kutoka nchini Korea,Jana Januari 4,2013.

No comments:

Post a Comment