Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo Akabidhi Pikipiki Kwa Wakaguzi wa Polisi Tarafa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo akipokea heshima za gwaride lililoandaliwa na kikosi cha kutuliza ghasia kilichopo mkoani hapa. Nyuma yake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas na Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia wizi wa Mifugo (STPU) Tanzania Bara Kamishna Msaidizi wa Polisi Ibrahimu Kilongo
No comments:
Post a Comment