Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Job Ndugai akitoa miongozo mbalimbali Bungeni leo.
Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbuge wa Singida mashariki(CHADEMA),Mh. Tundu Lissu akipinga hoja leo Bungeni mjini Dodoma,Kushoto ni Mbunge wa iringa mjini.
wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja kupinga hoja leo Bungeni.
Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Tundu Lissu (kulia} akijadiliana jambo na Naibu Spika wa Bunge,Mh. Job Ndugai nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini,Mchungaji Msigwa.
No comments:
Post a Comment