Msanii wa filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, siku ya jana ilikuwa ni siku yenye furaha kwake baadaya kufunga ndoa rasmi na Bi. Fatma Salumu.
Ndoa hiyo ilifungwa majira ya mchana maeneo ya Mwananyamala nyumbani anapoishi msani huyo.
No comments:
Post a Comment