IKULU:Rais Jakaya Kikwete Atua Mkoani Kigoma Rasmi Kuongoza Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi(CCM),Mamia Wajitokeza Kumpokea
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibya wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tarehe 02/02/2013 tayari kwa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi,yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma kesho.
No comments:
Post a Comment