IKULU:Rais Jakaya Kikwete Akamilisha Usajili wa Kitambulisho Cha Taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi ya Jana, Ijumaa, Februari Mosi, 2013.
No comments:
Post a Comment