WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 7 February 2013

AFCON 2013 NEWS: BURKINA FASO YAIFUATA NIGERIA FAINALI


Mabao ndani ya dakika 120 yalifungwa na Mubarak Wakaso anayechezea Klabu ya Espanyol kwa njia ya Penati katika dakika ya 13. Aristide Bance anayechezea klabu ya Augsburg ya Ujerumani alisawazisha dakika ya 60. Matuta yaliwasaidia Burkina Faso Stallions kuvuka na kutinga fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika.

No comments:

Post a Comment