WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 31 January 2013

SUMA LEE AMPOTEZA BABA YAKE MZAZI

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Tanga maarufu kama Suma Lee leo kupitia katika mtandao wa Facebook aliandika ujumbe kuhusu kifo cha baba yake mzazi mzee Sadiki Iddi.

Ujumbe huo ulisomeka "BABA MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI.” Natoa pole za dhati kwa Familia na watu wote walioguswa na msiba huu. Mungu ailaze mahali pema peponi, Amin.

No comments:

Post a Comment