Thursday, 27 December 2012
TOP TEN YA FILAMU AFRIKA, BONGO MOVIE GIZANI
Kwa mujibu wa mtandao maarufu barani Afrika wa africasacountry.com Filamu hizi zimo katika list ya 10 bora kwasababu ni movie zilizo wekezwa kwa burget kubwa na hatimaye kuwa bora na kupata soko kubwa barani Ulaya na Marekani.
Zikiwa katika mitindo, mandhari na maudhui tofautitofauti Filamu hizi zimeweza pia kuoneshwa katika majumba makubwa ya Sinema duniani.
Nairobi Half Life (Kenya)
Lakini mtandao huu umetoa nafasi kwa wadau wenyekipingamizi kuweka mambo wazi, kama kuna Filamu iliyo bora zaidi ya hizi...
Dear Mandela (South Africa)
When China Met Africa (UK)
The Curse (Morocco)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment