WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Thursday, 6 September 2012

VIATU VYA SEVEN ALIVYOVIACHA MTV VIKUBWA…BADO HAIJAPATA MRITHI

Its almost half a year past tangu Seven atangaze kuacha kupiga mzigo at MTV Base. Partnership kati ya Clouds TV, TBC 1 ya kurusha vipindi vya TV station hiyo ya South of A bila kusahau ngoma za wasanii wa hapa nyumbani zilizokuwa zikioneshwa kwenye kituo hicho ni baadhi ya mambo ambayo Seven whose real name is Christine Mosha aliyafanya wakati kipindi akiwa brand and talent representative wao hapa Tezee. Infoz za kuaminika ni kwamba hadi sasa MTV Base haijapata jembe la kuvaa viatu vikubwa vilivyoachwa na Seven who’s currently working for Sonny/ RockStar 4000 as Head of Talent and New Business Development . Baabkubwa magazine knows that vipindi vya MTV Networks havichezwi tena at Clouds TV wala TBC 1 na pia ngoma za wasanii wa kibongo hazipromotiwi kiivo kwenye sation hiyo as it was before. Does this means MTV yenye CV kubwa duniani haina utaratibu wa kuandaa watu wa akiba kama zilivyo sehemu nyingine au hawana mpango na Tanzania tena? Watch out this space ujue issue ikoje

No comments:

Post a Comment