WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Saturday, 8 September 2012

RAPPER ANAYE FANYA FILAMU YA X NDIO HUYU

Rapper kutoka Young Money Cash Money Brothers , Tyga amefunguka kuhusu muendelezo wa wimbo wake wa Rack City nakusema kuwa itafanyika filamu ya Ngono yani X na yeye ni mmoja kati ya waigizaji wa filamu hio itakayoitwa Rack City;The XXX Movie . Tayari amefungua mtandao wake wa Picha na Video za X unaoitwa www.rackcityxxx.com na unalipia $ 24.95 kwa mwezi ili kufurahi huduma za mtandao huo . Filamu hii ya X itakuwa na ma star wa filamu kama Keyes .Eva Angelina ,Havana Ginger ,Kristina Rose ,Jada Fire na Austin Taylor . Tyga alisema hii itakuwa filamu bomba sana ya X ila itakuwa na muonekana tofauti sana kwani kutakuwa na story na mambo mengine ambayo hayajawahi kuonekana kwenye filamu ya x

No comments:

Post a Comment