WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Friday, 7 September 2012

RAPPER ALIYEPATA DEAL KWA PANCHO LATINO NDIO HUYU

Baada ya kumalizana na AM Records kwa Producer Maneck kwa sasa Rapper M Rap ana roll na Producer wa B Hits Pancho Latino na atakuwa akifanya kazi na Pancho. Kwa sasa M Rap amejiunga na wasani kama Mabeste , Kundi La Unknown [ Godzila na Gosby ] ,Lio na Winnie ambao nyimbo zao zitatoka soon . Pancho amefunguka kuwa alikutana na M Rap east africa radio baada ya kumaliza Interview na Zembwela katika Super Mix na akamskiliza na kuona kama msanii ambaye anajua anachotaka na ame hustle sana kupata mafanikio so ni muda wa mtu kama Pancho kumpa nafasi.M Rap anamiaka 19. Hii Ndio Kazi Yake Ya Mwisho Alifanya na Makamua - Tuna Maintain

No comments:

Post a Comment