WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Wednesday, 5 September 2012

MUONEKANO WA WEBSITE MPYA YA MR NICE NA YA DULLY SYKES NA KINACHO PATIKANA HUMO NDANI..

Kwa habari , mziki , video za show zake na mambo kibao kuhusu Mr Nice pitia huu mtandao wa Mr Nice ambao ni www.mrnicebongo.com.
http://www.dulisyx.com/ Ndio mtandao wa Msani wa Bongo fleva Dully Sykes mwenye zaidi ya miaka 13 kwenye Game la mziki Bongo .Tayari ana studio Mbili za Kurekodi mziki ,Dhahabu Records na Studio 4.12 , na ana mpango wakuanzisha studio ya video production.

No comments:

Post a Comment