WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Wednesday, 5 September 2012

KANYE WEST AHAMASISHA ALBUM MPYA YA THE GAME KUITWA “JESUS PIECE”

Jayceon Terrell Taylor alias Game ni american rapper ambaye anujua jinsi ya kuanzisha vurugu katika mistari yake. Rapper huyu alikuwa amefungwa mdomo na kila mtu katika kuzungumzia jina jipya la his next album. Awali alikuwa amepanga iitwe F.I.V.E. (Fear Is Victory’s Evolution), ndipo akaamua kuibadilisha mpaka “Jesus Piece” baada ya Trey Songz kurelease album iliyofanana na jina lake la kwanza kwa jina la Chapter V. Game ambaye anamiliki vipande kadhaa vya mistari ya Jesus pieces, alimwambia DJ Skee jinsi yeye alivyokuja na title la Jesus piece. “I did a song with Kanye that was called ‘Jesus Piece,’” he said. “One day we was in the studio and Dre from Cool & Dre was just like, ‘We should call the album ‘Jesus Piece.” You know how much controversy that will be?”. He is eyeing a fourth quarter release for what will be his fifth and final album for Interscope Records. “I feel like I’m about to be reborn, alisema The Game ambaye sasa anatamba na single yake ya “Celebration” aliyotoa collabo kwa Lil Wayne, Chris Brown, Tyga na Wiz Khalifa. Zaidi Game anasema ameshamaliza kushoot reality series documenting his upcoming marriage to fiancée Tiffney Cambridge. Ambayo ametumia $1 million katika utengenezaji na ipo katika hatua za mwisho kukamilika.

No comments:

Post a Comment