Jana usiku ilikuwa zamu ya mkoa wa Tabora kupata ile burudani adhimu ya muziki wa Kizazi kipya ikiwa ni mwendelezo wa msimu wa Serengeti Fiesta kwa Mwaka 2012. Zaidi ya wasanii 10 wa muziki walipamba jukwaa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani huko.
No comments:
Post a Comment