WELCOME TO VIBES,FEEL FREE AND ENJOOY

Monday, 4 June 2012

JINSI MEXICO ILIVYOIFUNGA BRAZIL JANA


Katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika uwanja wa Cowboys Texas Marekani kati ya Brazil na Mexico, Mexico imeondoka na ushindi wa 2- 0 magoli yaliyofungwa na Dos Santos na Javier Hernandez, ukitaka kuangalia magoli yote mawili jinsi yalivyofungwa play hiyo video hapo chini.

No comments:

Post a Comment